Ommy dimpoz biography of martin tupogo video

          2 years ago more..

          Tupogo Lyrics

          Tupogo - Ommy Dimpoz

          ...

          Tupogo

          Bado tupo (pozi kwa pozi)

          Tupogo

          Bado tupo

          Tunachopata ni chetu me na yeye tu

          Kiwe kidogo

          Kikubwa ni majaliwa

          Hata kama kidogo

          Kikubwa ni majaliwa

          Ila mimi na ye tupogo aanh

          Bado tupo

          Nasema mimi na yeye tupogo aanha

          Bado tupo

          Na bado niko nae tupogo aanha

          Bado tupogo

          Mbona bado niko nae aanha

          Mpaka sasa nadunda nae aanha

          Yule yule wa nai nai na baadaye aanha

          Walisema sitadumu nae aanha

          Ona vichwa chini wamenuna aanha

          Ya kwetu mbele yao wao yamedumaa aanha

          Tunachopata ni chetu me na yeye tu

          Kiwe kidogo

          Kikubwa ni majaliwa

          Hata kama kidogo

          Kikubwa ni majaliwa

          Ila mimi na ye tupogo aanh

          Bado tupo

          Nasema mimi na yeye tupogo aanha

          Bado tupo

          Na bado niko nae tupogo aanha

          Bado tupogo

          Mamae beshinae beshinao tupogo

          Papaa beshinae beshinao bado tupo

          Aah dimpoz j martin

          See how we're sweet like tomato

          Aah dimpoz j martin

          See how we're sweet like tomato

          Anyhwhere we there

          So we do raga raga raga eeh eeh

          A